JINA: Aris
UMRI WANGU: Miaka 44JINSIA : Mwanaume
NAISHI KATIKA WILAYA/MKOA: Tanzania
EMAIL OR PHONE NUMBER: arismanyanga@gmail.com
MAELEZO: Jambo watu wote!
Nina furaha sana kuwa mwanachama wa jukwaa hili la urafiki, kwa taaluma mimi ni Mwongoza watalii, Mtanzania, na pia ninafanya kazi katika NGO inayofanya kazi na watoto wenye ulemavu kama mratibu wa kujitolea.
Napendelea Traveling, Camping, Sports, Charity work. Ninatafuta Marafiki kutoka ulimwenguni kote bila kujali dini yoyote.
wasiliana nami Asante
NAPENDELEA : Michezo, Wanyama, Utamaduni, Kusafiri, Soga, Barua pepe, Urafiki
LUGHA NINAZO JUA: Kiswahili, Kingereza
NAHITAJI MWENYE: Miaka 20 hadi 90
JINSIA: Wanawake na Wanaume