JINA: Ramla Masanja
UMRI WANGU: Miaka 28
JINSIA : Mwanamke
NAISHI KATIKA WILAYA/MKOA: Dar es salaam, Tanzania
EMAIL OR PHONE NUMBER: ramlamasanja3@gmail.com
MAELEZO: Naitwa Rammy kutoka mji mdogo uitwao Babati. Kwa sasa naishi Dar es salaam. Nyota yangu ni Virgo, kwa hivyo nafurahiya niwapo peke yangu au na wapendwa wangu, lakini zaidi peke yangu hahaa😀. Napendelea vitendo kuliko maneno. Utafurahi kutumia muda wako na mimi..
Natafuta Mwanaume mkarimu. Mtu anayejijua na nini anachotaka maishani.
Mtu anayemjua Mungu. Mwanamume anayependa watoto, Mtanashati, yule ambaye ataniheshimu na kuthamini kila dakika ambayo tumetumia pamoja.
NAPENDELEA : Riwaya,Tamthilia, Ushairi, Filamu na Runinga, Muziki, Kompyuta na Mtandao, Michezo, Ucheshi, Mitindo, Ununuzi, Sherehe, Asili, Wanyama, Kupika, Uzazi, Elimu, Sayansi, Kusafiri, Barua pepe, Urafiki, Uhusiano, Utani wa Mapenzi
LUGHA NINAZO JUA: Kiswahili, Kingereza
NAHITAJI MWENYE: Miaka 30 hadi 50
JINSIA: Wanaume