JINA: Noreen
UMRI WANGU: Miaka 23JINSIA : Mwanamke
NAISHI KATIKA WILAYA/MKOA: Dar es salaam, Tanzania
EMAIL OR PHONE NUMBER: noreenkirimbai@gmail.com
MAELEZO: Naitwa Noreen ...napenda kusoma vitabu kwa sababu hunifanya nijifunze kitu ..napenda kupika ndio ninachopenda kila wakati..napenda kusikiliza muziki hunifanya nijisikie vizuri ninapokuwa na huzuni au hasira. Napenda kwenda ufukweni kuona bahari na kuogelea baharini.
Natafuta mtu serious anayejua mapenzi ni nini anayeweza kunijali na ninaweza kumjali mwenye mapenzi ya kweli .sipendi uongo...Usaliti nahitaji mtu smart ambaye tunaweza kufanya ndoto zetu pamoja.
NAPENDELEA : Riwaya,Tamthilia, Ushairi, Filamu na Runinga, Muziki, Kompyuta na Mtandao, Mitindo, Ununuzi, Asili, Kupika, Uzazi, Utamaduni, Lugha, Elimu, Sayansi, Kusafiri, Soga, Barua pepe, Urafiki, Uhusiano, Utani wa Mapenzi
LUGHA NINAZO JUA: Kiswahili, Kingereza
NAHITAJI MWENYE: Miaka 30 hadi 50
JINSIA: Wanaume