JINA: Emanuel Mbasha
UMRI WANGU: Miaka 28JINSIA : Mwanaume
NAISHI KATIKA WILAYA/MKOA: Tanzania
EMAIL OR PHONE NUMBER: safimbasha@gmail.com
MAELEZO: Habari, mimi ni Emanuel Mbasha kutoka Tanzania🇹🇿. KILIMANJARO ni mkoa wangu lakini naishi DAR-ES-SALAAM. Kusoma vitabu tofauti, Kusafiri, Naamini katika KUTOA, ninahitaji uhusiano wa Dhati. Kusudi la maisha ni maisha ya kusudi.
Muziki ninaosikiliza: Lukas Graham an artist
Songs: love someone, hold my hand, everything isn't me, stick around, Mama said.
Welcome!!
NAPENDELEA : Filamu na Runinga, Muziki, Kompyuta na Mtandao, Michezo, Asili, Wanyama, Utamaduni, Lugha, Elimu, Ubinadamu, Kusafiri, Soga, Barua pepe
LUGHA NINAZO JUA: Kiswahili, Kingereza
NAHITAJI MWENYE: Miaka 20 hadi 90
JINSIA: Wanaume