JINA: Mgwani
UMRI WANGU: Miaka 40JINSIA : Mwanamke
NAISHI KATIKA WILAYA/MKOA: Dar es salaam, Tanzania
PHONE: +255712055359
MAELEZO: mimi ni mama wa wavulana 4. Ninapenda kusoma, kupika, kushona nguo na matembezi ya jioni. Maslahi Yangu; kusaidia wahitaji walio karibu nami kila inapowezekana. Ninaishi Dar es salaam Tanzania.
Natafuta marafiki wa kike nje ya bara la Afrika, ambao ninaweza kubadilishana mawazo, maarifa na zaidi ya yote wanaoweza kunipa mawazo mapya na usaidizi kwa wahitaji, Yatima na kampeini za uhamasishaji wasichana.
NAPENDELEA : Riwaya,Tamthilia, Ushairi, Filamu na Runinga, Kompyuta na Mtandao, Michezo, Ucheshi, Mitindo, Ununuzi, Sherehe, Ufundi, Asili, Wanyama, Kupika, Uzazi, Utamaduni, Lugha, Elimu, Ubinadamu, Sayansi, Kusafiri, Masuala ya Kimataifa, Soga, Barua pepe, Barua ya Mkono, Urafiki, Uhusiano
LUGHA NINAZO JUA: Kiswahili, Kingereza
NAHITAJI MWENYE: Miaka 16 hadi 100
JINSIA: Wanawake na Wanaume