JINA: Anna
UMRI WANGU: Miaka 22JINSIA : Mwanamke
NAISHI KATIKA WILAYA/MKOA: Dar es salaam, Tanzania
EMAIL OR PHONE NUMBER: annagatwa2001@gmail.com
MAELEZO: Naitwa Anna Gatwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam nchini Tanzania.
Natafuta Marafiki ambao tunaweza kushirikishana uzoefu tofauti na miunganisho ya maisha, kazi na fursa. Pia marafiki ambao tunaweza kushauriana katika nyanja tofauti kama vile uhusiano na maswala ya familia pia ushauri katika nyanja za masomo na kubadilishana ujuzi tofauti.
NAPENDELEA : Riwaya,Tamthilia, Ushairi, Filamu na Runinga, Muziki, Kompyuta na Mtandao, Michezo, Ucheshi, Mitindo, Ununuzi, Sherehe, Ufundi, Asili, Wanyama, Kupika, Uzazi, Utamaduni, Lugha, Elimu, Ubinadamu, Sayansi, Kusafiri, Masuala ya Kimataifa, Soga, Barua pepe, Barua ya Mkono, Urafiki, Uhusiano, Utani wa Mapenzi
LUGHA NINAZO JUA: Kiswahili, Kingereza
NAHITAJI MWENYE: Miaka 20 hadi 90
JINSIA: Wanawake na Wanaume