JINA: Eriyo
UMRI WANGU: Miaka 61JINSIA : Mwanaume
NAISHI KATIKA WILAYA/MKOA: Morogoro, Tanzania
EMAIL : eriyoc88@gmail.com
MAELEZO: Nina umri wa miaka 61, naishi Tanzania, Mkoa wa Morogoro. Kwa taaluma mimi ni Clinical Officer, nilipunguzwa kazi baada ya kampuni yetu kushindwa kufanya biashara. Ninavutiwa sana, kutazama mechi za kimataifa za mpira wa miguu, kutembelea makumbusho, mbuga za wanyama na kutazama National Geographic.
NAPENDELEA : Riwaya,Tamthilia, Ushairi, Filamu na Runinga, Muziki, Kompyuta na Mtandao, Wanyama, Utamaduni, Lugha, Sayansi, Soga, Barua pepe, Urafiki, Uhusiano
LUGHA NINAZO JUA: Kiswahili, Kingereza
NAHITAJI MWENYE: Miaka 16 hadi 80
JINSIA: Wanawake na Wanaume