JINA: Rebby
UMRI WANGU: Miaka 42JINSIA : Mwanamke
NAISHI KATIKA WILAYA/MKOA: Dar es salaam, Tanzania
PHONE: +255753823498
MAELEZO: Mimi ni mwanamke Mtanzania, Mkristo mwenye umri wa miaka 42. Nina watoto watatu wa kupendeza, nimetengana, napenda kusikiliza nyimbo za injili, matembezi, kusafiri, kuishi na familia yangu Dar es salaam Tanzania.
Natafuta marafiki penpals ambao watakuwa marafiki wa kweli.
NAPENDELEA : Riwaya,Tamthilia, Ushairi, Filamu na Runinga, Muziki, Kompyuta na Mtandao, Michezo, Ucheshi, Mitindo, Ununuzi, Sherehe, Ufundi, Asili, Wanyama, Kupika, Uzazi, Utamaduni, Lugha, Elimu, Ubinadamu, Sayansi, Kusafiri, Masuala ya Kimataifa, Soga, Barua pepe, Barua ya Mkono, Urafiki, Uhusiano, Utani wa Mapenzi
LUGHA NINAZO JUA: Kiswahili, Kingereza
NAHITAJI MWENYE: Miaka 18 hadi 100
JINSIA: Wanawake na Wanaume