JINA: Rehema Mlemeta
UMRI WANGU: Miaka 41JINSIA : Mwanamke
NAISHI KATIKA WILAYA/MKOA: Tanga, Tanzania
EMAIL OR PHONE NUMBER: rehemamlemeta2@gmail.com
MAELEZO: Mimi ni mwanamke wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 41, napenda kupika, kusikiliza muziki, kusafiri, ununuzi, bustani na kutazama filamu na tamthilia za televisheni.
Niko hapa natafuta marafiki kwa ajili ya kubadilishana mawazo. Natafuta rafiki ambaye ana heshima, adabu, yuko kimapenzi.
NAPENDELEA : Riwaya,Tamthilia, Ushairi, Filamu na Runinga, Muziki, Mitindo, Ununuzi, Asili, Wanyama, Kupika, Uzazi, Utamaduni, Lugha, Ubinadamu, Kusafiri, Soga, Barua pepe, Urafiki, Uhusiano
LUGHA NINAZO JUA: Kiswahili, Kingereza
NAHITAJI MWENYE: Miaka 18 hadi 80
JINSIA: Wanaume