JINA: Nadhra
UMRI WANGU: Miaka 22JINSIA : Mwanamke
NAISHI KATIKA WILAYA/MKOA: Dar es salaam, Tanzania
EMAIL : nadhranyagaizeni@gmail.com
MAELEZO: Mimi ni rafiki, napenda kusoma zaidi katika wattpad na ninaishi Dar es salaam nchini Tanzania lakini sasa niko katika mkoa wa Iringa ambao ninasoma digrii yangu katika Chuo Kikuu cha Iringa. Mimi ndiye pekee katika familia yangu na ninachochukia zaidi ni usaliti.
Natafuta rafiki ambaye tunaweza kubadilisha mawazo fulani kuhusu mambo mbalimbali katika maisha ya kijamii
NAPENDELEA : Riwaya,Tamthilia, Ushairi, Filamu na Runinga, Muziki, Kompyuta na Mtandao, Mitindo, Ununuzi, Sherehe, Asili, Wanyama, Kupika, Uzazi, Utamaduni, Lugha, Elimu, Ubinadamu, Kusafiri, Soga, Barua pepe, Urafiki, Uhusiano, Utani wa Mapenzi
LUGHA NINAZO JUA: Kiswahili, Kingereza
NAHITAJI MWENYE: Miaka 26 hadi 80
JINSIA: Wanaume