JINA: Zein Abdala
UMRI WANGU: Miaka 24JINSIA : Mwanamke
NAISHI KATIKA WILAYA/MKOA: Dar es salaam, Tanzania
EMAIL : abzein24@gmail.com
MAELEZO: Naitwa Zein napenda kuzungumza kiingereza na kusoma. Niko Tanzania.
Natafuta marafiki wa kweli ambao wana nia yao kuzungumza nami kwamaana mimi ni mlemavu ninahitaji marafiki zaidi maishani mwangu ili kushirikishana mawazo fulani.
NAPENDELEA : Riwaya,Tamthilia, Ushairi, Filamu na Runinga, Muziki, Kompyuta na Mtandao, Ucheshi, Mitindo, Ununuzi, Sherehe, Asili, Wanyama, Kupika, Lugha, Elimu, Ubinadamu, Sayansi, Kusafiri, Masuala ya Kimataifa, Soga, Barua pepe, Urafiki, Uhusiano
LUGHA NINAZO JUA: Kiswahili, Kingereza
NAHITAJI MWENYE: Miaka 16 hadi 80
JINSIA: Wanawake na Wanaume